

Kuandaa na kuexport mock up design nzuri kwaajili ya matumizi mbalimbali.Mwisho utajua namna na utatengeneza projects mbalimbali ambazo zitakuongezea kipato na kuongeza design nzuri katika portifolio yako.Utajifunza namna ya kutumia 3 Dimension graphics design katika ulimwengu halisi.Pia utajifunza namna ya kutumia kwa ufasaha adjustment panel (Brightness na contrast, levels, curve, lookups,).Utakua na ujuzi mkubwa wa kutumia Filters mbalimbali kama vile Camera raw filters, blur filters, distort nk.kubadilisha na kuapply rangi mbalimbali kwenye design yako.kuondoa object kwenye picha kiprofessional.Kuzitumia basic tool za photoshop selection tools, Layer mask, Clipping mask Kuondoa na kubadilisha background za picha ambazo ni ngumu kama nywele na picha zenye composition za vitu vingi.Kufahamu kila kitu kuhusu Photoshop Inrteface


Baada ya kumaliza kozi hii utakua na uwezo mkubwa wa kufanya mambo yafuatayo.Na yeyote anayetaka kuingia katika ulimwengu wa kidigitali.Īdobe photoshop itakuwezesha kuedit picha (Retouching, manipulation, adjustment nk), Kudesign posters, Flyers, banner, 3d post production, pre motion graphics draft, Website tempelates nk. Kozi hii ni maalumu na itawafaa watu wa makundi yafuatayo Nimekufundisha kutoka kutokakujua mpaka kujua na kuwa professional. Hellow Naitwa Joel Kadaga mimi ni Creative Designer mwenye uzoefu wa miaka kadhaa katika career Videography, Photography, Motion Graphics nk kwa miaka ambayo nimekua katika career nimejifunza kupitia makosa na kupata uzoefu wa kutosha, hatimaye nimeaandaa mafunzo haya kwaajili yako ujifunze matumizi ya Adobe Photoshop hata kama hujui chochote na haujawahi kutumia software hii. MAFUNZO YA ADOBE PHOTOSHOP (ADOBE PHOTOSHOP COURSE)
